Pages

Tufuta hapa

Saturday, February 9, 2013

Leo jumamosi ya tarehe 9 ndani ya Tushikamane club, ni mpango mzma kwenye 1 na 2 au A na B patasababishwa na Dj ndevu na Dj Jack de swaggz. huku kwenye danc floo itaneemeshwa na watoto wakal na washkaj waukweli. wai uwe mmoja wapo. kiinglio kama kawa! jpange! bata mpaka mswaki na madebe ya kutosha!

No comments:

Post a Comment